Chanzo hicho kiliendelea kusema kuwa, kuna baadhi ya watoto wa vigogo
Mfanyabiashara
maarufu jijini Dar es Salaam, Muharani Mohammed Abdallah, maarufu kama
Chonji(mwenye suti), akiwa chini ya ulinzi. Vyanzo vyetu makini kutoka
jeshi la polisi zinasema kuwa mali zinazochunguzwa kutokana na tuhuma
hizo nzito ni maghorofa, fedha pamoja na magari anayomiliki. “Tuliambiwa
kuwa huyu bwana alikuwa akiishi maisha ya hali ya juu, sasa kutokana na
tuhumza zake polisi wameanza kuchunguza kila alichonacho ili kujua
uhalali wake,” kilisema chanzo. HALI tete, siku chache baada ya
mfanyabiashara
maarufu jijini Dar es Salaam, Muharani Mohammed Abdallah, maarufu kama
Chonji kukamatwa na kutupwa gerezani kwa tuhuma za kukamatwa na dawa
kulevya, sasa mali zake zimeanza kuchunguzwa.
on Thursday, November 27, 2014
Post a Comment