Mwili ukichukuliwa na Polisi baada ya kuvunjwa mlango wa chumba katika Guest House hiyo. |
Dada huyu inasemekana kuwa ndiye alikuwa mpenzi wake marehemu huyo Ramadhani |
Baadhi ya wananchi waliofika katika Guest house hiyo kushuhudia tukio hilo. |
Hii ndio HK Saloon aliyokuwa akifanyia kazi msusi huyo maarufu wa nywele za akinamama ambapo kifo chake kimegubikwa na wimbi la utata kutokana na maelezo kuwa aliondoka Saloon hapo baada ya kufunga milango na kuelekea huko Guest house akiwa mzima wa afya.Habari kwa hisani ya http://kapipij.blogspot.com/ |
Post a Comment