Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma wakimjulia hali Meja
Peter Lyamuya aliyelazwa katika hospitali kuu ya jeshi Lugalo jijini Dar
es Salaam akiuguza jeraha la mguu alilopata baada ya ndege ya kivita
aliyokuwa akiiendesha kuanguka na kulipuka wiki iliyopita.Askari huyo wa
Jeshi la Wananchi wa Tanzania(JWTZ) alinusurika kifo baada ya
kufanikiwa kujiokoa katika ajali hiyo iiyosababishwa na ndege mnyama
kuingia kwenye injini na kusababisha hitilafu iliyopelekea kushika moto,
kuanguka na kulipuka.Ndege hiyo ilikuwa katika mazoezi ya kawaida
kwenye uwanja wa ndege wa Mwanza.(picha na Freddy Maro)
Loading...
Post a Comment