Carlos Teves ameng’ara na kupachika mabao mawili na kutoa pasi ya bao jingine kwa Alvaro Morata wakati Juventus ikishinda 3-0 ugenini dhidi ya Borussia Dortmund.
Juve sasa imefuzu hadi robo fainali kwa jumla ya mabao 5-1 baada ya ushindi wa 2-1 ikiwa ugenini.
Tevez ameonyesha kiwango cha juu katika mechi hiyo na kuiwezesha Juve kufuzu.
VIKOSI:
Borussia Dortmund: Weidenfeller, Papastathopoulos, Subotic, Hummels, Schmelzer, Kampl, Bender, Gundogan, Reus, Mkhitaryan, Aubameyang.
Subs: Langerak, Kehl, Kagawa, Blaszczykowski, Kirch, Immobile, Ramos.
Subs: Langerak, Kehl, Kagawa, Blaszczykowski, Kirch, Immobile, Ramos.
Juventus: Buffon, Lichtsteiner, Bonucci, Chiellini, Evra, Vidal, Marchisio, Pogba, Tevez, Pereyra, Morata.
Subs: Storari, Ogbonna, Barzagli, Pepe, Padoin, Llorente, Matri.
Subs: Storari, Ogbonna, Barzagli, Pepe, Padoin, Llorente, Matri.
Referee: Milorad Mazic (Serbia)
Post a Comment