Watu wawili wamefariki katika ajali iliyotokea huko Mikumi kati ya basi lenye namba za usajili T 179CRG mali ya Fm safari linalotoka Dar es Salaam kwenda Mbeya na roli aaina ya Fuso.
Baadhi ya wasamalia wema wakiendelea kuokoa abiria waliokuwa kwenye basi ilo lililopata ajali maeneo ya Mikumi mkoani Morogoro.
Hii ndio hali halisi ya magari baada ya kupata ajali eneo la Mikumi
Post a Comment