Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Mwigizaji LULU Michael Apingana na Wema Sepetu Kwa Hili Jambo....



Sheria iliyopitishwa na Mamlaka ya mawasiliano Tanzania TCRA "Cybercrime au Cyberbulling" Kuwa ukitukana mtandaoni na Comment ikawa inaonekana aliyeandika utalipa faini ya Shiling laki 7.5 kwa kila siku  imemfanya Lulu Michael Arudi Mtandaoni Baaada ya Kujitoa kutokana na Matusi ya Watu waliokuwa wakimshambulia ...

Lulu Amesema "Binafsi nadhani Sheria hii Itasaidia Kidogo Watanzania kupunguza matumizi Mabovu ya Mitandao ya Kijamii , Fikiria wazazi wetu wangetulia kwa kutukana kama ilivyo sasa tungekuwa wapi sasa hivi? "

Huku Lulu Akishangalia Sheria Hiyo Mrembo Wema Sepetu Amepinga Vikali Sheria hiyo kwa kusema inanyima uhuru kwa Mashabiki wake kumrekebisha , Wema Amesema yeye yuko radhi kutukanwa kwani ndio kunamrekebisha ......"Je mimi nitawezaje kujua makosa yangu ili niweze kubadilika na kufanya vizuri kama sintasikiliza maoni ya watu yawe mabaya au Mazuri" Ali hoji Wema Sepetu
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top