Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

MKUU WA JESHI MSTAAFU AUAWA


CMcp8qCUwAA87Qk
Chief Colonel Jean Bikomagu, enzi za uhai wake.

Mkuu wa Jeshi Mstaafu wa Burundi aliyongoza mapigano ya vita vya wenyewe kwa wenyewe, Chief Colonel Jean Bikomagu ameuawa kwa kushambuliwa na risasi nyumbani kwake leo na watu wasiojulikana.
CMc06dQWsAEyjVf
Mmoja wa wanafamilia alikiambia chombo kimoja cha habari mjini Bujumbura kuwa, Jean Bikomagu alivamiwa na watu wasiojulikana mapema leo nyumbani kwake Wilaya ya Kinindo, Kusini mwa Mji Mkuu wa nchi hiyo, Bujumbura, akiwa kwenye gari na binti yake. Baada ya kuvamiwa, wauaji hao walimmiminia risasi nyingi hadi kumuua na kumjeruhi binti yake kasha kukimbia na pikipiki kusikojulikana.
CMc06ddWUAEWl32 
Haya ni mauaji ya pili mfurulizo kwa makamanda ngazi…
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top