Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini Hati za Ahadi ya Uadilifu kwa
Viongozi, Watumishi wa Umma na Sekta binafsi akishuhudiwa na viongozi wa
taasisi na sekta hizo leo Agosti 14, 2015 Ikulu jijini Dar es salaam
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiikabidhi baada ya kuweka saini Hati za Ahadi
ya Uadilifu kwa Viongozi, Watumishi wa Umma na Sekta binafsi
akishuhudiwa na viongozi wa taasisi na sekta hizo leo Agosti 14, 2015
Ikulu jijini Dar es salaam
Hati
za Ahadi ya Uadilifu kwa Viongozi, Watumishi wa Umma na Sekta binafsi
zikioneshwa huku zikishuhudiwa na viongozi wa taasisi na sekta hizo leo
Agosti 14, 2015 Ikulu jijini Dar es salaam
Mwenyekiti
wa Business Roundtable Ali Mufuruki na Mkuu wa Brela wakisaini kwa
niaba ya sekta binafsi na za umma Hati za Ahadi ya Uadilifu kwa
Viongozi, Watumishi wa Umma na Sekta binafsi akishuhudiwa na viongozi wa
taasisi na sekta hizo leo Agosti 14, 2015 Ikulu jijini Dar es salaam.
Post a Comment