Balozi
wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Wilson Masilingi akiwa na Rais wa
Marekani Mhe. Barack Obama mara baada ya kukabidhi hati za
utambumbulisho (White House). Washington DC siku ya Alhamisi Septemba
17, 2015.
Mhe.
Wilson Masilingi Pamoja na Familia yake wakiwa Katika nyuso za furaha
mara baada ya kukabidhi hati za utambulisho Ikulu ya Marekani(White
House) siku ya Alhamisi Septemba 17, 2015. Kutoka kushoto
ni Mtoto wa Balozi ndugu Nelson Masilingi, Rais wa Marekani Barack
Obama, Balozi Wilson Masilingi, pamoja na Marystella Masilingi. Mke wa
Balozi.
Wafanyakazi
wa Ubalozi wa Tanzania Nchini Marekani wakiwa katika picha ya pamoja na
Mhe. Wilson Masilingi na familia yake mara baada ya kurudi nyumbani
kwake Bethesda, Maryland alipotoka kukabidhi hati za Utambulisho kwa
Rais Barack Obama siku ya Alhamisi Septemba 17, 2015.
Post a Comment