Mgombea
Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akishuka kutoka kwenye Helkopta
anayoitumia kwa ziara zake za Kampeni, wakati akiwasili kwenye Uwanja wa
Fatuma, katika Jimbo la Muleba Kusini, Mkoani Kagera leo Septemba 15,
2015.
Mgombea
Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(CHADEMA), Mh. Edward Lowassa pamoja na Waziri Mkuu wa Zamani, Mh.
Fredrick Sumaye, wakiwasalimia wananchi wa Mji wa Muleba, wakati
walipowasili kwenye Uwanja wa Fatuma, katika Jimbo la Muleba Kusini,
Mkoani Kagera leo Septemba 15, 2015, kulikofanyika Mkutano wa Kampeni za
Mgombea huyo.CHANZO OTHMAN MICHUZI
Mgombea
Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(CHADEMA), Mh. Edward Lowassa akisalimiana na Mgombea Ubunge wa Jimbo la
Muleba Kusini kupitia CHADEMA, Kashasira Alistides, wakati wa Mkutano
wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Fatuma, Mjini Muleba, Mkoani
Kagera leo Septemba 15, 2015. Katikati ni Waziri Mkuu wa Zamani, Mh.
Fredrick Sumaye.
Waziri
Mkuu wa Zamani, Mh. Fredrick Sumaye akihutubia wananchi kwenye Mkutano
wa Kampeni za Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha
Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, uliofanyika
kwenye Uwanja wa Fatuma, katika Jimbo la Muleba Kusini, Mkoani Kagera
leo Septemba 15, 2015.
Aliekuwa
Mbunge wa Jimbo la Nyamagana Jijini Mwanza, Mh. Ezeckiel Wenje
akihutubia wananchi kwenye Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa
Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),
Mh. Edward Lowassa, uliofanyika kwenye Uwanja wa Fatuma, katika Jimbo la
Muleba Kusini, Mkoani Kagera leo Septemba 15, 2015.
Mgombea
Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akihutubia wananchi kwenye Mkutano wa
Kampeni zake za kuwania nafasi hiyo, uliofanyika kwenye Uwanja wa
Fatuma, katika Jimbo la Muleba Kusini, Mkoani Kagera leo Septemba 15,
2015.
Mgombea
Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo
(CHADEMA), Mh. Edward Lowassa, akimnadi kwa wananchi, Mgombea Ubunge wa
Jimbo la Muleba Kusini kupitia CHADEMA, Kashasira Alistides, katika
Mkutano wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Fatuma, Mjini Muleba,
Mkoani Kagera leo Septemba 15, 2015.
Post a Comment