Mwakilishi wa Shirika la kuhudumia watoto Zanzibar (Save the children) Mali lisson akimkabidhi funguo za pikipiki
tano, Naibu waziri wa Afya Mahmoud Thabit Kombo
kwa ajili ya wakuu wa vitengo vya mkono kwa mkono wa wilaya katika
hafla iliyofanyika wizara ya Afya mnazimmoja mjini Zanzibar.
Naibu
waziri wa Afya Mahmoud Thabit Kombo akitia saini baada ya kupokea
pikipiki tano kwa ajili ya kuwarahisishia kazi wakuu wa vitengo vya
huduma ya mkono kwa mkono wa wilaya.
Naibu
waziri wa Afya mahmoud Thabit Komba akizungumza na
wafanyakazi na wakuu wa vitengo vya mkono kwa mkono waliokabidhiwa
pikipiki hizo.
picha zote na Miza Othman –maelezo zanzibar.
Pikipiki
walizo kabidhiwa wakuu wa vitengo vya mkono kwa mkono kwa ajili ya
kuwasaidia shughuli za kufuatilia vitendo vya udhalilishaji wa kijinsia kwa
watoto.
Post a Comment