Mgombea mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Haji Duni akihutubia mkutano wa kampeni katika jimbo la Busanda mkoani Geita.
Mgombea
mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Haji Duni akiwasili katika
mkutano wa kampeni katika jimbo la Busanda mkoani Geita leo. (Picha na
Francis Dande)
Msafara
wa mgombea mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Haji Duni ukiwasili
katika kata ya Katolo wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika katika
jimbo la Busanda mkoani Geita.
Mgombea
mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Haji Duni akiwapungia mkono
wananchi waliofurika katika mkutano wa kampeni wa uliofanyika katika
kata ya Katolo jimbo la Busanda mkoani Geita.
Mgombea
mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Haji Duni akiwapungia mkono
wananchi waliofurika katika mkutano wa kampeni wa uliofanyika katika
kata ya Katolo jimbo la Busanda mkoani Geita.
Mgombea mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Haji Duni
akihutubia mkutano wa kampeni katika jimbo la Busanda mkoani Geita.
Mgombea mwenza wa Ukawa kupitia Chadema, Juma Haji Duni akihutubia mkutano wa kampeni katika jimbo la Busanda mkoani Geita.
umati wa watu.
Post a Comment