October
24 2015 ndio ilikua siku ya mwisho ya vyama vya siasa Tanzania kupiga
kampeni kwa ajili ya uchaguzi mkuu ambao tarehe yake ni October 25
ambapo baada ya kukuonyesha CCM na UKAWA walivyofunga kampeni kwenye
post iliyopita, post hii ni ya ACT Wazalendo ambao wamefunga kampeni zao
Kigoma.
Zitto Kabwe ndio anaonekana kwenye picha kwenye ufungaji wa kampeni
za ACT Kigoma, vilevile Zitto anagombea ubunge wa jimbo la Kigoma mjini
na mama Anna Mghwira anagombea Urais.
Post a Comment