Boniphace Ngumije
MUIGIZAJI nguli nchini,Mahsein Awadh Said ‘Dk Cheni’ hivi karibuni ametoa ya moyoni kwa kusema kuwa serikali
MUIGIZAJI nguli nchini,Mahsein Awadh Said ‘Dk Cheni’ hivi karibuni ametoa ya moyoni kwa kusema kuwa serikali
ijayo iache mambo ya blabla bali itimize ahadi ambazo imekuwa ikitoa kwa wasanii ikiwa ni pamoja na kulinda haki
na masilahi yao.
Akizungumzia jinsi alivyouona uchaguzi,
Dk Cheni alisema ameridhika na matokeo lakini akatoa rai kwa wale
waliochaguliwa kuwaangaili wasanii kwa jicho la pili ili nao waweze
kunufaika kwa kazi zao.
“Wakati wa blaablaa umepita, waliyoahidi
kuhusu wasanii wayafanyie kazi, tunataka kunufaika na kile
tunachokifanya, naamini serikali itaundwa na watu makini na kero zetu
zitashughulikiwa ipasavyo,” alisema Dk. Cheni.
GPL
Post a Comment