Msimamizi wa uchaguzi jimbo la Tarime Mjini, Mwanjombe limemtajngaza rasmi Ester Matiko (Chadema) kuwa mshindi katika kinyang’anyiro cha ubunge wa jimbo hilo.
Matiko
amekuwa mbunge wa kwanza kutangazwa rasmi huku akiweka histori kubwa
katika wilaya ya Tarime mjini kuwa mwanamke wa kwanza kuwa mbunge katika
wilaya hiyo inayosadikika kuwa na historia ya mfumo dume hususan katika
ngazi ya familia.
Bi. Matiku amepata kura 20,017 na kumshinda mpinzani wake wa karibu Kembaki Michael Mwita wa CCM aliyepata kura 14,025
Post a Comment