Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Hivi ndivyo Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CCM, Dk. Ali Mohammed Shein Alivyopiga Kura


Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk. Ali Mohammed Shein, tayari ameshapiga kura yake kwenye Kituo cha Skuli ya Bungi kusini mwa kisiwa cha Unguja, majira ya saa moja asubuhi 

Shein  amewaambia  waandishi  wa  habari   kuwa amejipigia kura mwenyewe na ana matumaini makubwa yakushinda

Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top