Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Mgombea wa Urais wa TLP, Maximillian Lyimo Ashindwa Kupiga Kura



Mgombea Urais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania kupitia chama cha TLP Macmillan Lyimo ameshindwa kutekeleza haki yake ya msngi na ya kikatiba ya kupiga kura leo baada ya kukosekana kwa fomu namba 19 inayo mruhusu kupiga kura kwa kuwa hayupo kituo chake cha kupigia kura cha Dar es Salaam alichojiandikisha awali ambapo kwa sasa yupo jijini Arusha.

Mbali  na  kukosekana  kwa  fomu  hiyo, Mgombea  huyo  pia  hakuwa  na  kitambulisho  chake  cha  kupigia  kura
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top