Ushindani ni mkubwa sana kati ya Lowassa na Magufuli. Wote wanakabana kwa karibu sana katika majimbo yote yaliyotangazwa na tume.
Hadi
sasa ni ngumu sana kutabiri ni nani ataibuka kidedea. Tume
imeshatangaza karibia nusu nzima ya majimbo 264 hadi sasa na
imeahidi kuendelea kutangaza majimbo mengine kesho saa tatu na
nusu asubuhi.
Katika majimbo hayo 87, Magufuli ana kura 1,980,899 huku Lowassa akiwa na 1,388,693
Bila shaka unaweza kuona......wanachuana kwa karibu sana.
Mpekuzi tutakuletea majimbo mengine yatakayo tangazwa na tume saa tatu kesho asubuhi. Endelea kuwa nasi
Post a Comment