Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akisalimiana na kumfariji Meya wa Manispa ya Ilala Mhe. Jery Slaa
alipofika nyumbani kwao Gongolamboto jijini Dar es salaam leo Octoba
20, 2015 kwa ajili ya kutoa mkono wa pole kufuatia kifo cha Baba yake
Marehemu Rubani William Slaa aliyefariki wiki iliyopita kwa ajali ya
Hekopta.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akisalimiana na kumfariji Bibi Tabita Slaa aliyekuwa Mke wa
Marehemu Rubani William Slaa aliyefariki wiki iliyopita kwa ajali ya
Hekopta wakati alipofika nyumbani kwa marehemu Gongolamboto jijini Dar
es salaam leo Octoba 20,2015 kwa ajili ya kutowa mkono wa pole.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib
Bilal, akisaini kitabu cha kumbukumbu ya maombolezo kufuatia kifo cha
marehemu Rubani William Slaa aliyefariki Dunia wiki iliyopita kwa ajali
ya Helkopta wakati Makamu wa Rais alipofika nyumbani kwa Marehemu
Slaa Gongolamboto jijini Dar es salaam leo Octoba 20, 2015. (Picha na
OMR)
Post a Comment