|
Mbunge
wa jimbo la Moshi mjini aliyemaliza muda wake ,Philemoni
Ndesamburo,akimnadi mgombea Ubunge katika jimbo hilo Jafary Michael
(Chadema) katika mkutano wa kampeni uliofanyika jana katika kata ya
Ngangamfumuni. |
|
Baadhi ya wananchi wakiwa kando ya barabara wakifuatilia mkutano huo. |
|
Mgombea
Ubunge jimbo la Moshi mjini kupitia Chadema,Jafary Michael akiomba kura
wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika katika kata ya Ngangamfumuni
mjini Moshi. |
|
Mwenyekiti
wa Chadema na mbunge anayemaliza muda wake katika jimbo la Moshi
mjini,Philemoni Ndesamburo (katikati) akiwa na mgombea udiwani kata ya
Ngangamfumuni,Anthony (kulia ) na mgombea udiwani kata ya Longuo Raymond
Mboya. (kushoto). |
|
Mgo,bea Ubunge jimbo la Moshi mjini,Jafary Michael akiomba kura . |
|
Baadhi ya wafuasi na wananchi waliofika katika mkutano huo. |
|
Mgombea
Ubunge katika jimbo la Moshi mjini,Jafary Michael akimumbea kura
mgombea wa nafasi ya udiwani katika kata ya Ngangamfumuni,Anthony. |
|
Mgombea
Ubunge katika jimbo la Moshi mjini,Jafary Michael akimuombea kura
mgombea wa nafasi ya udiwani katika kata ya Rau,Peter Kimaro wakati wa
mkutano wa kampeni uliofanyika katika kata ya Ngangamfumuni.
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii ,kandaya Kaskazini. |
on Tuesday, October 20, 2015
Post a Comment