Katibu
Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue, kulia akipokea zawadi kwa niaba ya
Rais Jakaya Kikwete kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Tasisi ya Utafiti wa
Magonjwa ya Binadamu (NIMR), Dk Mwele Malecela kutokana na mchango wake
mkubwa katika kukuza na kuthamini utafiti nchini, wakati wa Kongamano la
29 la Kisayansi lililoandaliwa na taasisi hiyo ili kuwasilisha na
kujadili matokeo ya tafiti za tiba katika maendeleo ya kijamii na
kiuchumi. Kongamano hilo linafanyika jijini Dar es Salam kwa siku tatu
(Na Mpiga Wetu).
Loading...
BLOG RAFIKI
-
-
-
-
-
THBUB YACHUNGUZA MAUAJI YA KIUNGONI, PEMBA17 hours ago
-
THBUB YACHUNGUZA MAUAJI YA KIUNGONI, PEMBA17 hours ago
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
-
Post a Comment