|
Waziri Membe akiongea na watumishi wa Wizara wakati wa hafla hiyo. |
|
Katibu
Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi
Liberata Mulamula akifungua hafla ya kumuaga Waziri wa Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe iliyoandaliwa na
watumishi wa Wizara hiyo na kufanyika katika Kituo cha Kimataifa cha
Mikutano cha Julius Nyerere |
|
Baadhi ya watumishi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa waliohudhuria hafla hiyo |
|
Naibu
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa,
Balozi Hassan Simba Yahya akitoa muhtsari wa shughuli chache ambazo
Waziri Membe alizisimamia kwa umahiri mkubwa katika kipindi chake cha
miaka 9 ya Uwazi wa Mambo ya Nje. Waliokaa ni Mhe. Membe na Balozi
Mulamula ambao wanasikiliza kwa maikini shughuli zilizotekelezwa na Mhe.
Waziri Membe. |
|
Waheshimiwa
Mabalozi wanaowakilisha Tanzania katika nchi mbalimbali, Wakuu wa
Idara/Vitengo na watumishi wakisikiliza kwa makini shughuli ambazo Mhe.
Waziri Membe amezisimamia ipasavyo ikiwemo suala la maslahi ya
watumishi. |
|
Sehemu
nyingine ya Waheshimiwa Mabalozi wanaowakilisha Tanzania katika nchi
mbalimbali, Wakuu wa Idara/Vitengo na watumishi wakisikiliza kwa makini
shughuli ambazo Mhe. Waziri Membe amezisimamia ipasavyo ikiwemo suala la
maslahi ya watumishi |
|
Mkuu
wa Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali katika Wizara ya Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Kimataifa, Bi. Mindi Kasiga akitangaza Tuzo na Zawadi
mbalimbali ambazo zitatolewa kwa ajili ya Mhe. Waziri na Naibu Waziri na
Wenza wao. |
|
Waziri
wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe
(kushoto) akisoma maneno yaliyoandikwa katika Tuzo ya Uongozi
iliyotolewa na Wizara ya Mambo ya Nje na kukabidhiwa na Katibu Mkuu,
Balozi Liberata Mulamula |
|
Waziri Membe akifurahia zawadi iliyotolewa na Wizara ya Mambo ya Nje. |
|
Waziri
Membe akipokea zawadi kwa niaba ya Mama Membe ambaye hakuweza kufika
katika hafla hiyo. Bi. Amisa Mwakawago, Mkurugenzi Msaidizi katika Idara
ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu alikabidhi zawadi hiyo kwa
niaba ya Wizara. |
|
Balozi
wa Tanzania nchini Ufaransa, Mhe. Begum Karim Taj naye akikabidhi
zawadi kwa Mhe. Waziri kwa niaba ya Waheshimiwa Mabalozi wa Tanzania |
|
Naibu
Katibu Mkuu, Balozi Hassan Simba Yahya akipokea zawadi kwa niaba ya
Naibu Waziri, Mhe. Dkt. Mahadhi Juma Maalim ambaye hakuweza kuhudhuria
hafla hiyo kutokana na majukumu ya kitaifa. |
|
Balozi Mulamula na Mama Mwakawago wakionesha zawadi ya Mama Mahadhi Juma Maalim. |
|
Waheshimiwa
Mabalozi wanaowakilisha Tanzania katika nchi mbalimbali, Wakuu wa
Idara/Vitengo na watumishi wakishuhudia zoezi la utoaji wa zawadi. |
|
Waziri Membe akiongea na watumishi wa Wizara wakati wa hafla hiyo. |
|
Mkuu wa Itifaki, Balozi Juma Maharage akitoa neno la shukrani katika hafla hiyo |
|
Mkurugenzi wa Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Celestine Mushy naye akiongea machache katika hafla hiyo |
|
Kaimu
Mkurugenzi wa Idara ya Mashariki ya Kati, Bw. Elibariki Maleko
akionekana mtu mwenye furaha katika hafla hiyo, baada ya kutangazwa kuwa
ameteuliwa kuwa Naibu Balozi wa Tanzania nchini Uganda. Wengine
waliotangazwa kuwa Naibu Mabalozi ni Bi. Rosemary Jairo, Kaimu
Mkurugenzi wa Idara ya Diaspora ambaye anakuwa Naibu Balozi nchini
Afrika Kusini na Bw. Andy Mwandembwa, Mkurugenzi Msaidizi katika Idara
ya Itifaki ambaye anakuwa Naibu Balozi nchini Sweden. |
|
Wakati wa maakuli. Mhe. Waziri akiwa ameshikilia sahani ya chakula na anyemfuatia ni Katibu Mkuu anayeonekana akichota chakula |
|
Naibu Katibu Mkuu naye anajichotea chakula |
|
Waheshimiwa Mabalozi nao wanajichotea chakula |
|
Mhe. Waziri, Katibu Mkuu na Naibu Katibu Mkuu wakiwa katika picha ya pamoja na Waheshimiwa Mabalozi na Wakuu wa Idara/Vitengo |
|
Mhe. Waziri, Katibu Mkuu na Naibu Katibu Mkuu wakiwa katika picha ya pamoja na Wakuu wa Idara/Vitengo. |
|
Mhe. Waziri, Katibu Mkuu na Naibu Katibu Mkuu wakiwa katika picha ya pamoja na Wasaidizi wa Waziri na Naibu Waziri. |
|
Mhe.
Waziri, Katibu Mkuu na Naibu Katibu Mkuu wakiwa katika picha ya pamoja
na watumishi wa Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu. |
|
Mhe. Waziri, Katibu Mkuu na Naibu Katibu Mkuu wakiwa katika picha ya pamoja na watumishi wa Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali. |
|
Mhe. Waziri, Katibu Mkuu na Naibu Katibu Mkuu wakiwa katika picha ya pamoja na Waheshimiwa Mabalozi Wanawake. |
on Thursday, October 22, 2015
Post a Comment