LEO
Majira ya saa nane usiku,Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi ya
Zanzibar, Salim Jecha, ametangaza matokeo ya uchaguzi wa urais wa
Zanzibar kwa majimbo mawili ya Kiembesamaki na Fuoni, ambapo kwenye
majimbo yote mawili mgombea wa CCM, Dk. Ali Mohammed Shein, anaongoza.
Zanzibar ilikuwa na majimbo 54
Baki nasi. Tutakujuza kila kitu kitakachokuwa kikitokea.....Kwa upande wa Tanzania Bara,Matokeo ya awali yataanza kutangazwa saa 4 asubuhi
Baki nasi. Tutakujuza kila kitu kitakachokuwa kikitokea.....Kwa upande wa Tanzania Bara,Matokeo ya awali yataanza kutangazwa saa 4 asubuhi
Post a Comment