Mkazi
mmoja wa mkoa wa Morogoro amejikata kidole chake kidogo cha mkono wa
kushoto ambacho huingizwa kwenye wino baada ya kupiga kura ikiwa ni
hasira ya Lowassa kukosa uraisi.
Mkazi huyo pia ameharibu kadi yake ya kupiga kura na kuahidi kutopiga kura tena katika maisha yake.
Chanzo: Star TV Magazeti
Post a Comment