Mvutano
mkubwa umezuka katika kata ya Moshono mkoani Arusha baada ya familia
mbili kugombania ardhi na kushindikana kuzikwaa kwa mwili wa marehemu
Peter Kivuyo katika shamba lake iliyo lazimu mwili kukaa chumba cha
kuhifadhi maiti katika hospitali ya Mountmeru kwa siku saba ugomvi
ukiendelea kwa madai kuwa eneo Hilo alishaliuza hali iliyo walazimu
vijana kutoka kabila la Masai kutumia nguvu kuchimba kaburi na kuzika
mwili wa marehemu huku wakiweka ulinzi mkali wakiwa na silaha za jadi.
Loading...
Post a Comment