Hatimaye Yule Mshindi wa shindano la Trace Music Stars Africa, mtanzania Nalimi Mayunga ameshawasili nchini Marekani kwaajili ya kufanya collabo na msanii mkubwa wa kimataifa Akon.
Nikukumbushetu kuwa Mayunga aliziandika headlines kwenye kurasa za Bongo Flevabaada ya kushinda shindano hilo kubwa la kusaka vipaji, ambapo alijipatia donge nono la mkataba wa kurekodi na Universal Studio wenye thamani ya dola 500,000.
Hapa tayari nimekusogezea video ikimuonesha mshindi wetu akiwa nyumbani kwa Akontayari kwa maandalizi ya shughuli nzima iliyompeleka>>
Post a Comment