Aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH), Dk Hussein Kidanto (kushoto) akimtambulisha Kaimu Mkurugenzi mpya wa Hospitali hiyo, Profesa Lawrence Mseru (kulia) ambaye ameteuliwa juzi na Rais John Pombe Magufuli. Juzi Rais Magufuli amemuamishia Dk Kidanto katika Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii.
Kaimu Mkurugenzi mpya wa Hospitali hiyo, Profesa Lawrence Mseru ambaye
ameteuliwa juzi na Rais John Pombe Magufuli akizungumza na menejimenti
ya hospitali hiyo jana.
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano ya Umma (MNH), Aminiel Aligaesha
(kushoto) na mwanasheria wa hospitali hiyo, Veronica wakimsikiliza Kaimu
Mkurugenzi mpya wa Hospitali hiyo Profesa Lawrence Mseru.
Baadhi ya wakurugenzi wakimsikiliza Kaimu Mkurugenzi mpya wa Hospitali hiyo Profesa Lawrence Mseru.
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano ya Umma (MNH), Aminiel Aligaesha
(kulia) na akimtambulisha Kaimu Mkurugenzi mpya wa Hospitali hiyo
Profesa Lawrence Mseru kwa kamati tendaji, wakurugenzi, wakuu wa idara,
mameneja wa majengo ya Kibasila, Sewahaji, Mwaisela na Jengo la Watoto.
Kaimu Mkurugenzi mpya wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH), Profesa
Lawrence Mseru (kulia) akizungumza na kamati tendaji, wakurugenzi,
wakuu wa idara, mameneja wa majengo ya Kibasila, Sewahaji, Mwaisela na
Jengo la Watoto.
Kamati
Tendaji, wakurugenzi, wakuu wa idara, mameneja wa majengo ya Kibasila,
Sewahaji, Mwaisela na Jengo la Watoto wakimsikiliza Kaimu Mkurugenzi
mpya wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH), Profesa Lawrence Mseru
Post a Comment