Mwenyekiti
wa CCM Taifa, Rais Mstaafu wa Awamu ya nne Dk. Jakaya Mrisho Kikwete
akisalimiana na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana kwenye
uwanja wa Ndege wa muda mfupi kabla ya kuelekea Dodoma tayari kwa
kuongoza kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu.
Mwenyekiti
wa CCM Taifa, Rais Mstaafu wa Awamu ya nne Dk. Jakaya Mrisho
Kikweteakisalimiana na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dodoma Alhaji Adam
Kimbisa mara baada ya kuwasili mkoani Dodoma tayari kwa kuongoza kikao
cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM.
Post a Comment