Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Nakusogezea 3 za tunda man mwezi huu


Staa wa Bongo Fleva, Khalid Ramadhan ‘Tunda Man’
STAA wa Bongo Fleva, Khalid Ramadhan ‘Tunda Man’ anatarajia kuachia ngoma zake tatu kwa mpigo alizowashirikisha mastaa wakubwa ndani na nje ya nchi mwezi.

Tunda aliitonya Global Showbiz kuwa ngoma hizo ni Jiachie aliyomshirikisha Diamond Platnumz, Debe Tupu aliyomshirikisha msanii mkubwa nchini Nigeria (Jina linahifadhiwa) pamoja na Mama Kijacho aliyoimba mwenyewe.
“Nashukuru menejimenti yangu (Said Fella na Babu Tale) naendelea nayo vizuri ambapo mashabiki wangu wakae mkao wa kunisikia nikiwa kimataifa zaidi mwezi huu,” alisema Tunda Man.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top