Baadhi ya majengo yaliyokuwa na maduka yamebomolewa.
Zoezi hilo likiendelea katika eneo la Mwenge.
Baadhi ya Askari wakiwa eneo la tukio kuimarisha ulinzi wakati wa bomoa bomoa
Hizi ni baadhi ya picha za bomoa bomoa katika eneo la tukio hapa Mwenge, wameenda katika maeneo menginie ikiwemo Tegeta.
Inaelezwa kwamba wakazi waliokuwa wanaishi katika eneo la hilo
walitakiwa kuondoka mapema kwa amri ya Serikali kutokana na kwamba
maeneo hayo sio sehemu rasmi kwa makazi hivyo nyumba zote zilizokuwa
zimewekewa alama ya mkasi zimebomolewa.
Zoezi hili ni muendelezo wa bomoa bomoa katika maeneo yatakayohusika na
ubomoaji huo ikiwa ni pamoja na maeneo ya Mbezi, Tegeta, Bunju, Mwenge
na Kinondoni eneo la Biafra.
Post a Comment