Raisi Magufuli amezuia maafisa 50 waliokuwa wasafiri kwa ajili ya kwenda kushiriki kwenye ziara ya Jumuiya ya Madola.
Badala
yake Rais ameruhusu maafisa wanne tu na kuokoa jumla ya sh milioni 700
ambazo zingetumika kulipia posho za safari na kugharamia tiketi za ndege
on Sunday, November 22, 2015
Post a Comment