Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli akimkabidhi hati ya kiapo Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa Kassim baada ya uchaguzi Mkuu uliofanyika hivi karibuni, hafla ya kiapo ilifanyika leo Ikulu ya Chamwino Mkoa wa Dodoma
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli (katikati)akiwa katika picha ya pamoja na familia ya Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa Kassim (watatu kushoto mstari wa nyuma) baada ka kuapishwa rasmi leo katika viwanja vya Ikulu ya Chamwino Mkoani Dodoma,[Picha na Ikulu.]
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli
(katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Makamo wa Rais wa jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan (kushoto) na Waziri Mkuu wa
Tanzania Kassim Majaliwa Kassim (kulia) baada ya kuapishwa rasmi
kushika wadhifa wake huo na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt.John Pombe Magufuli katika Ikulu ya Chamwino Mkoani Dodoma
leo.
Credit: CCM Blog
Post a Comment