Msajili wa
vyama vya siasa nchini,Jaji Mstaafu ,Francis Mtungi akiarisha mkutano
wa vyama vya siasa ulioandaliwa kwa ajili ya kumuaga Rais Dk.Jakaya
Kikkwete leo jijini Dar es Salaam.
.Mchambuzi
wa wa Masuala ya Siasa na Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es
Salaam,Dk.Benson Bana akizungumza na waandishi wa habari juu hali ya
siasa nchini leo katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam.
Aliyekuwa Mgombea Urais wa TLP,Maxmillian Lymo akifafanua jambo kwa waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam.
Makamu
Mwenyekiti wa CCM, Phillip Mangula( Kushoto) akizungumza na Mwenyekiti
wa Taifa wa Chama cha Labour Patry (TLP), Agustino Lyatonga Mrema
(kulia ) na katikati Mgombea Urais, Maxmillian Lymo jijini Dar es
Salaam.
Mwenyekiti Taifa wa chama cha (AFD) Said Soud Said akifafanua jambo kwa wandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam.
Picha na Emmanuel Massaka wa Globu ya Jamii
Post a Comment