Msajili
wa Vyama vya Siasa nchini Jaji Francis Mutungi akiongea na wajumbe wa
Baraza la Vyama vya Siasa (hawapo pichani) wakati wa maandalizi ya hafla
ya kumuaga Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete
leo jijini Dar es salaam. Hafla hiyo itafanyika Novemba 03, 2015 katika
Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
Mhadhiri
Mwandamizi wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam Dkt. Benson Bana akisistiza
jambo wajumbe wa Baraza la Vyama vya Siasa (hawapo pichani) wakati wa
maandalizi ya hafla ya kumuaga Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Dkt. Jakaya Kikwete leo jijini Dar es salaam. Kushoto ni Mjumbe wa
baraza hilo Augustino Mrema wa Chama cha TLP.
Makamu
Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara Philip Mangula (kushoto) akisalimiana
na Mjumbe wa Baraza la Vyama vya Siasa Augustino Mrema (kulia) wa Chama
cha TLP wakati wa maandalizi ya hafla ya kumuaga Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete leo jijini Dar es salaam. Hafla
hiyo itafanyika Novemba 03, 2015 katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa
wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
Mjumbe
wa Baraza la Vyama vya Siasa nchini Kaimu Katibu Mkuu wa UDP Isaac
Cheyo akipata habari mbalimbali zilizojiri ndani na nje ya nchi kabla
kuanza kikao cha maandalizi ya hafla ya kumuaga Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete leo jijini Dar es salaam.
Hafla hiyo itafanyika Novemba, 03 2015 katika Ukumbi wa Mikutano wa
Kimataifa wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
Makamu
Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara Philip Mangula (katikati) akiteta jambo
na Mbunge Mteule wa Jimbo la Peramiho (kulia) mkoani Ruvuma mara baada
ya kikao cha Baraza la Vyama vya Siasa nchini wakati wa maandalizi ya
hafla ya kumuaga Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya
Kikwete leo jijini Dar es salaam. Hafla hiyo itafanyika Novemba 03, 2015
katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Kambarage
Nyerere.
Mkuu
wa Mkoa wa Dar es salaam Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadik
(kulia) akibadilishana mawazo na Msajili wa Vyama vya Siasa nchini Jaji
Francis Mutungi (katikati) na Mbunge Mteule wa Jimbo la Mtwara Vijijini
Hawa Ghasia (kushoto) mara baada ya kikao cha Baraza la Vyama vya Siasa
nchini wakati wa maandalizi ya hafla ya kumuaga Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Kikwete leo jijini Dar es salaam. Hafla
hiyo itafanyika Novemba 03, 2015 katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa
wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.(Picha na Eleuteri Mangi-MAELEZO)
Post a Comment