Mbunge
wa Jimbo la Ilala Mussa Azzan Zungu (kulia) akikabidhiwa fomu za
kuwania nafasi ya Unaibu Spika wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka
kwa Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa anayeshughulikia
Oganaizesheni Ndugu Mohamed Seif Khatib
Mbunge
wa Jimbo la Ilala Mussa Azzan Zungu akionesha fomu za kuwania nafasi ya
unaibu spika wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka kwa waandishi wa
Habari waliojitokeza kwenye Makao Makuu ya CCM ofisi Ndogo Lumumba.
Mbunge wa Jimbo la Ilala Mussa Azzan Zungu akijaza fomu za kugombea Unaibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Mbunge
wa Jimbo la Kasulu Mjini Ndugu Daniel Nswanzingwanko akiandika taarifa
zake kwenye kitabu maalum cha kusajili majina ya waliochukua fomu za
Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Mbunge wa Jimbo la Kasulu Mjini Ndugu Daniel Nswanzingwanko akikabidhiwa fomu za kuwania nafasi ya Spika wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka kwa Katibu
wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa anayeshughulikia Oganaizesheni, Ndugu Mohamed Seif Khatib
Mbunge wa Jimbo la Kasulu Mjini Ndugu Daniel Nswanzingwanko akionesha fomu ya kuwania uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano mara baada ya kuzichukua katika ofisi ya Oganaizesheni CCM Lumumba.
Mbunge wa Jimbo la Kasulu Mjini Ndugu Daniel Nswanzingwanko akionesha fomu ya kuwania uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano mara baada ya kuzichukua katika ofisi ya Oganaizesheni CCM Lumumba.
Post a Comment