Mbunge wa Viti Maalum CCM Neema
Mgaya akila kiapo cha uaminifu cha ubunge mbele ya Spika wa Bunge la
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Job Ndugai.
Mbunge wa Viti Maalum CCM Dkt.
Mary Machuche Mwanjelwa akila kiapo cha uaminifu cha ubunge mbele ya
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Job Ndugai.
Mbunge wa Jimbo la Kawe Mh.
Halima James Mdee akila kiapo cha uaminifu cha ubunge mbele ya Spika wa
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Job Ndugai.
Mbunge wa Vunjo Mh.James Francis
Mbatia akila kiapo cha uaminifu cha ubunge mbele ya Spika wa Bunge la
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Job Ndugai.
Mbunge wa Jimbo la Mwanga
Mh.Jumanne Abdallah Maghembe akila kiapo cha uaminifu cha ubunge mbele
ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Job Ndugai.
Mbunge wa Handeni Vijijini Mh.
Mboni Mohamed Mhita akila kiapo cha uaminifu cha ubunge mbele ya Spika
wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Job Ndugai.
Post a Comment