Kamati ya uchaguzi ya TFF leo imekaa na kikao chake kimemalizika jioni ya leo na kufanya usahili wa wagombea wa nafasi zote na kuchuja, list ya wagombea waliyochujwa nafasi ya Urais ni pamoja na Rais wa sasa wa TFF Jamal Malinzi ambaye amechujwa kwa kukosekana katika usahili.
Malinzi amekosekana katika usahili kutokana na kuwa rumande kwa kesi ya tuhuma ya makosa 28 kati ya hayo 25 yana muhusu yeye ikiwemo tuhuma ya utakatishaji fedha ambayo imesababisha kukosa dhamana kwa mujibu wa sheria.
Post a Comment