Aggy Baby Aweka Masharti Mazito ya Ndoa, Ataja Mahari Mpya
27 minutes ago
Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa
Japan, Hirotaka Ishihara baada ya kukutana naye Ofisini kwake jijini Dar
es salaam August 30, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Mwenyekiti
wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema mkoa wa Tabora Bw.Kansa
Mbaruku na Mwenyekiti wa kamati ya Sheria na haki za binadamu kanda ya
magharibi ambaye pia ni Mwanasheria mkongwe Bw.Mussa Kwikima wametangaza
kujiuzulu rasmi leo hii mbele ya waandishi wa habari kufuatia madai ya
kuendelea kukiukwa kwa maadili ya viongozi kuanzia ngazi ya juu ambao
wamekuwa wakivunja katiba kwa maslahi yao binafsi..jpg)
.jpg)

![]() |
| Msimbazi ni nyumbani; Okwi akiwa na jezi ya Simba SC baada ya kurejea timu yake ya zamani leo |

| Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Leonidas Gama akitoa hotuba wakati wa ufunguzi wa mkutano mkuu wa mwaka wa viongozi wa TAKUKURU unaofanyika katika ukumbi wa Kuringe. |
| Mkurugenzi mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Dk Edward Hosea akizummza wakati wa Mkutano wa mkuu wa mwaka wa viongozi wa TAKUKURU . |



